Gundua hadithi ya familia yako kwenye Maktaba Mshirika

Wenye kujitolea wa eneo lako wanaweza kusaidia kuanzisha safari yako ya historia ya familia.

Tafuta Mshirika
Mwanamke akifanya utafiti kwenye maktaba
Familia yenye asili ya Asia ikiangalia vitabu kwenye maktaba mshirika

Maktaba mshirika ni nini?

Maelfu ya maktaba washirika wa FamilySearch husaidia kufikisha huduma za FamilySearch kwa mamilioni ya wahudhuriaji hekaluni ulimwenguni kote. Maktaba washirika zina ufikiaji kwenye mkusanyiko wa kidijitali wa nasaba wa FamilySearch ambao vinginevyo hauwezi kufikiwa isipokuwa tu kupitia kituo cha FamilySearch.

Maktaba washirika zinaweza kuwa maktaba ya umma au ya elimu ya juu, makavazi, makumbusho, kituo cha utamaduni, au jumuiya ya nasaba au historia.

Tafuta Eneo

Ni rasilimali zipi zitapatikana kwangu?

Maktaba washirika hutofautiana katika matoleo, lakini mara nyingi zinajumuisha:

  • Kumbukumbu za kihistoria za FamilySearch zenye ufikiaji wenye ukomo
  • Usaidizi wa utafiti wa eneo husika kutoka kwa mfanyakazi
  • Madarasa ya historia ya familia
Jifunze Zaidi
Mwanamke ameketi kwenye dawati ndani ya maktaba, akitabasamu na akiwa anaangalia kompyuta.
Babu na mjukuu wakitazama picha za mababu zao.

Je, ninapaswa kujiandaa vipi kwa ajili ya kuzuru?

Pitia kile unachokifahamu kuhusu mababu zako, na kisha amua ni maeneo yapi unataka kuyafokasia. Kusanya taarifa kuhusu familia yako ambazo unazo nyumbani na kwa kuwauliza wanafamilia.

Ili kutazama kumbukumbu za kihistoria zenye ufikiaji wenye ukomo kwenye FamilySearch katika maktaba mshirika, utahitaji akaunti ya bure ya FamilySearch. Ikiwa bado huna akaunti, unaweza kujisajili sasa.

Tengeneza Akaunti Bure

Maeneo yanapatikana ulimwenguni kote.

Tafuta maktaba mshirika au kituo cha FamilySearch kilicho karibu nawe.Je, ni nani unaweza kumtafuta na kumfundisha?