Kila mtu ana picha zenye thamani za familia za kushiriki.

Na bado ni virahisi kwa picha mpya na za kale za familia na hadithi kutunzwa na kusahaulika. Vitunze sasa ili viweze kufurahiwa na vizazi vijavyo

Tengeneza Akaunti ya bure ili kuanza

Nini Kipya kwenye FamilySearch Memories?

Pangilia kwa mada.

Panga na Shiriki picha na kumbukumbu zako pendwa mpya na za kale za familia pamoja na Tagi za Mada. Pia zitakusaidia kugundua picha za kuvutia ambazo wengine wameongeza kwenye mada unazojali.

Jifunze Zaidi

Shiriki albamu.

Ongeza Kumbukumbu kwenye albamu na chagua mpangilio bora. Kisha shiriki albamu pamoja na wengine kwenye mitandao mikubwa ya kijamii au kupitia link ya kushirikisha.

Endelea kufurahia vipengele vyetu maarufu.

Wekea alamisho kumbukumbu muhimu.

Ongeza kumbukumbu yoyote au albamu shirikishwa kwenye FamilySearch kwenye orodha yako ya Alamisho, mkusanyiko uliopo kwenye Galeri yako. Ni njia rahisi ya kugundua tena kumbukumbu muhimu za familia ambazo wengine wameshiriki.

Jifunze Zaidi

Ruhusu kumbukumbu zako kutazamwa.

Ongeza tagi ya mtu kwa babu katika picha, nyaraka, hadithi au rekodi ya sauti ili kushiriki moja kwa moja kumbukumbu hiyo na ndugu kwenye ukurasa wa wasifu wa babu katika Mti wa Familia.

Jifunze Zaidi

Furahia kumbukumbu za familia yako katika sehemu moja.

Galeri ya Kumbukumbu ni mahali ambapo picha, hadithi, nyaraka na rekodi zote za sauti vinaweza kuhifadhiwa vyema na kisha kushirikishwa kwa wanafamilia wengine.

Jifunze Zaidi

Ipate historia ya familia kama inavyotokea

Huwezijua ni lini hadithi au picha ya familia ya kawaida au ya kutia moyo itajitokeza. Kuwa tayari kwa aplikesheni ya simu ya FamilySearch Memories. Ni njia rahisi ya kupata picha mpya au za kale za familia pamoja na nyaraka zilizorithiwa kizazi hadi kizazi na hadithi za sauti.

Shiriki kumbukumbu nzuri kabla hujachelewa. Familia yako itakushukuru vya vizazi vingi.

Hifadhi na shiriki kumbukumbu zako za familia. Tengeneza akaunti.

au ingia kama tayari una akaunti.